Karibu kwenye nyumba ya Wasafwa!
Hapa utaweza kupata vitabu, vitu vya kusikiliza na vya kutazama vyote kwa lugha ya Kisafwa! Kuna vitabu kwa watu wote, maandishi yaliyorekodiwa na video za kufurahisha! Kama una mawazo au maoni yeyote wasiliana nasi.
Asante sana!
Unaweza kuwasiliana nasi kwa tutumia ujumbe kwa njia ya fomu iliopo hapa chini. Huitaji kutaja jina lako au anwani ya barua pepe, isipokuwa una swali linalo hitaji jibu.