Kusikiliza

Kusikiliza hadithi kunaleta utamu! Njoo kaa nasi usikilize baadhi ya hadithi za Biblia katika Kisafwa! Umeshawahi kusikia hadithi ya mwanamke mmoja aliyeacha familia yake na kwenda ugenini na mwishoni akawa bibi mkuu wa mfalme Daudi?

Au umeshawahi kusikia hadithi ya Yesu kumfufua msichana mdogo? Hadithi hizi na nyingine nyingi utazipata kwenye ukurasa huu.

 

Furahia kusikiliza!

Thumbnail image